[FURSA] Zawadi Ya Kipekee Katika Kusherekea Siku Ya Wapendanao

NENO LA SIKU_FEBRUARI 13/2022: [FURSA] Zawadi Ya Kipekee Katika Kusherekea Siku Ya Wapendanao


📌Habari rafiki yangu na mfuatiliaji wa masomo ya mtandao wa Fikra za Kitajiri. Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vizuri na ujiandaa ipasavyo kwa siku wapendanao hapo kesho, yaani Valentine Day.


📌Ni utamaduni uliozoeleka katika jamii yetu kuwa Siku ya Valentine watu husambaza zawadi za kila aina kwa wapendwa wao. Wakati mwingine zawadi hizi huambatana na wapenzi kutoana “out” kwa ajili ya kula, kufurahi na kubadilisha uzoefu wa mazingira.


📌Kuoneshana matendo ya upendo wa ziada katika siku ya Wapendanao ni mazoea ambayo yamekuwepo vizazi na vizazi na pengine yatadumu kwa vizazi vijavyo. Hata hivyo, kwa asilimia kubwa zawadi na matendo yanayofanywa katika kusherekea siku ya Wapendanao huwa ni ya muda tu na baada ya kusherekea watu hurudi kwenye hali yao ya zamani.


📌Unapojiandaa kusherekea siku ya wapendanao kwa mwaka huu, nimekuandalia zawadi ambayo itadumu katika kumbukumbu zako na pengine kubadilisha hatima ya maisha yako ikiwa utachukua hatua stahiki.


📌Je! Una shauku ya kujua ni zawadi ipi nimekuandalia? Kama jibu lako ni ndiyo endelea kusoma makala hii!


📌Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiandaa makala mbalimbali kwa ajili ya kuelimisha jamii na watu wengi wamenufaika na makala hizi pasipo gharama yoyote au gharama nafuu kabisaa.


📌Pia, utaratibu huo huo wa kuelimisha nimekuwa nikisoma vitabu vya maarifa mbalimbali na kuandaa ufupisho juu ya kile ninachojifunza katika vitabu husika. Nakala za ufupisho wa kile ninachojifunza nimekuwa nikiziuza kwa gharama nafuu ili kuwezesha Watanzania wengi kujifunza kupitia usomaji vitabu. Mara nyingi hapa nalenga kuwezesha watu wengi kujenga utamaduni wa kujisomea vitabu ikiwa ni pamoja na wale wanaosingizia kutokuwa na muda wa kutosha kusoma kitabu kirefu au vikwazo vya lugha ya Kingereza. 


📌Aidha, katika kuendelea kuboresha kazi hii ya kuelimisha jamii nimeandika kitabu cha MAISHA YENYE THAMANI ambacho kina mwongozo wa jinsi gani kila mwanadamu anaweza kuishi maisha yenye kuacha alama katika ulimwengu huu kupitia majukumu ya maisha yake ya kila siku. Nakala tete ya Kitabu hiki inapatikana kwa gharama ya TSHS. 10,000/=.


📌Zaidi, nimekuwa nikitoa huduma ya ukocha ambayo inahusisha usimamizi na mwongozo wa karibu kwa kila anayejiunga na huduma hii. Huduma hii inatolewa kwa kipindi cha mwezi mmoja na ada ya kujiunga ni TSHS. 50,000/=


JE NI ZAWADI IPI NIMEIANDAA KWAKO UNAPOJIANDAA NA SIKU YA WAPENDANAO?


📌Unaposherekea siku ya wapendanao nimekuandalia zawadi ya PUNGUZO KWA ASILIMIA HAMSINI kwa kila huduma niliyotaja hapo juu. Sijui umenielewa! Namaanisha


📌1. Nakala za ufupisho wa vitabu vilivyosomwa na kuchambuliwa kuanzia sasa hadi siku ya tarehe 15 Februari, 2020; HAPA KUNA OFA YA KIPEKEE, kila nakala ya uchambuzi wa kitabu utakayochagua gharama yake ni Tshs. 2000! BOFYA HAPA KUCHAGUA UFUPISHO WA KITABU UKIPENDACHO


📌2. Kitabu cha MAISHA YENYE THAMANI kuanzia sasa unaposoma makala hii hadi siku ya tarehe 15 Februari, 2020; gharama yake ni PUNGUZO la asilimia hamsini na sasa utajipatia nakala tete ya kitabu hiki kwa Tshs. 5,000/ badala ya Tshs. 10,000/= ya awali. BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI KUHUSU KITABU CHA MAISHA YENYE THAMANI


📌3. Huduma ya Ukocha tunaposherekea siku ya Wapendanao IMEPUNGUZWA kutoka Tshs. 50,000/= na sasa gharama yake ni Tshs. 25,000/= BOFYA HAPA KUJIUNGA NA HUDUMA YA UKOCHA


📌4. BOFYA HAPA KUJIUNGA BURE NA KUNDI LA WHATSAPP


Una muda mchache uliobakia kuanzia sasa. FANYA MAAMUZI MARA MOJA kunufaika na huduma hii.


FANYA MALIPO KWA AJILI YA HUDUMA HIZI KUPITIA UTARATIBU UFUATAO

1. Lipia kupitia Kwa: Mpesa kwenye namba +255 (0) 763 745 451 au
                                    Airtel Money namba +255 (0) 786 881 155 au
                                    Halopesa namba +255 (0) 629 078 410
                                    Namba zote majina ni AUGUSTINE MATHIAS MUGENYI.

2. BENKI YA CRDB; AKAUNTI NAMBA 01J2598222700 Jina AUGUSTINE MATHIAS MUGENYI.


BORN TO WIN ~ DREAM BIG

Mwalimu Augustine Mathias

Mawasiliano: 0763 745 451/0786 881 155/0629 078 410

Barua pepe: fikrazakitajiri@gmail.com

onclick='window.open(