MFAHAMU MWANZILISHI WA MTANDAO WA FIKRA ZA KITAJIRI
Mwanzilishi wa Mtandao wa Fikra za Kitajiri ni Mwalimu Augustine Mathias Bilondwa ambaye ni Mhitimu wa Shahada ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo katika Sayansi ya Tathmini na Usimamizi wa Rasilimali za Misitu (MSc. Forest Resources Assessment and Management).
Kwa sasa Mwalimu Augustine Mathias Bilondwa Ameajiriwa kama Afisa Misitu wa Mkoa wa Katavi. Nje ya saa za mwajiri, mwanzilishi wa mtandao huu anajihusisha na biashara zake zinazohusisha uwekezaji kwenye ufugaji. Pia, mwanzilishi wa mtandao huu anajihusisha na uwekezaji kwenye hisa pamoja na vipande vya Mfuko wa Umoja na ana ndoto kubwa ya kujiajiri mwenyewe kupitia kuwekeza kwenye majumba ya biashara. Karibu usafiri na Mwalimu Augustine Mathias Bilondwa ili kwa pamoja mfanikishe ndoto zenu na hatimaye kwa pamoja mpate utajiri wa ndoto za maisha yenu.
Kwa Ushauri na Maoni Unaweza kuwasiliana na Mwalimu Augustine Mathias Bilondwa kupitia mawasiliano hapa chini:-
Barua pepe: fikrazatajiri@gmail.com
Ukurasa wa facebook: Fikra za Kitajiri: Fikri na Kutenda Kitajiri: Elimika na Tajirika