Karibu Jiunge na mtandao wa Fikra za Kitajiri
Habari ya leo rafiki na msomaji wa mtandao wa fikra za kitajiri. Karibu ujiunge na Mtandao wa fikra za kitajiri
Kujiunga na Mtandao wa fikra za Kitajiri unachotakiwa kufanya ni kujaza fomu hii hapa chini na kisha kubonyeza subscribe (jiunge).
Baada ya kujiunga na mtandao wa fikra za kitajiri hizi hapa ni faida ambazo utapata:-
Baada ya kujiunga na mtandao wa fikra za kitajiri hizi hapa ni faida ambazo utapata:-
- Kupata mafunzo kupitia kwenye makala ambazo zinawekwa kwenye mtandao huu moja kwa moja kwenye barua pepe yako;
- Kupata makala ya uchambuzi wa kitabu kila mwisho wa wiki;
- Kuunganishwa kwenye Kundi la WhatsApp la Mtandao wa Fikra za Kitajiri;
- Kupata ushauri wa namna ambavyo unaweza kufanikisha ndoto za maisha yako pasipo kujali mtaji ulionao kwa sasa; na
- Kupata ushauri wa namna ambavyo utaweza kufikia mafanikio makubwa sana.